Jeremiah 43:2

2 aAzaria mwana wa Hoshaya, na Yohanani mwana wa Karea, na watu wote wenye kiburi wakamwambia Yeremia, “Wewe unasema uongo! Bwana Mwenyezi Mungu wetu hajakutuma kusema, ‘Kamwe msiende Misri kukaa huko.’
Copyright information for SwhKC